Wataalamu wa rangi: Hii ni rangi gani?

Mhhhh kweli hii rangi Mkuu watakuja wataalamu wa kuchanganya watakuambia
 
Japokuwa unazingua but mi nakupa jibu halisi,ni INDIGO!
 
Rangi ipi sasa coz mie naona crazy colour tuu.
 
lengo lako cyo kujua rangi bali ni kutujulisha uwezo wako wa kula ugali kwa picha ya kuku ndo maana umewekapicha ya mdada huyo(asomae na afahamu)
 
Ninahitaji sana gauni kama hili kwa ajili ya shemeji yenu aweze nae kupendeza kipindi hiki cha eid
 

Attachments

  • 1437117806279.jpg
    31.5 KB · Views: 2,125
Ile miti safi sana kule nyuma kwa kimvuri
 
Sipendagi midubwasha, lakini hili linavutia haki ya nani.
 
Hilo dada hapo lililovaa gauni ni likubwa kweli me nikilipewa litanishinda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…