kuna software nyingine package zake lazima uzipate kwa kuinstall kwa kutumia commandline hasa third party softwares, sasa mtu kwenye windows keshazoe next, next, next halafu finish unapomleta kwenye masuala ya sudo au yum lazima akate tamaa na ndo maana watu wengi wanaotumia Linux ni madeveloper kwa sababu distro nyingi za Linux zinakuja na environment nzuri za development, mfano compiler framework n.k