Tujisahihishe Tz
Platinum Member
- Nov 17, 2011
- 3,050
- 1,359
Hii simu nimeona specs zake wameandika tu GSM/HSPA japo sikuona sasa frequency bands zake kujua kama inasupport bongo au la, la kwanza unauhakika location uliyopo kuna 3G?? nadhani unajua kua sio kila sehemu tanzania kuna 3G coverage, soma places hamna, kama u r sure kuna 3G basi ningekushauri uangalie kwenye settings za network kuna some smartphones zina sehemu ya kuchagua GSM peke yake au kuswitch into High speed simu nyingine wanaandika 3G/WCDMA/HSPA/HSDPA au choice ya kutumia both kwa wakati moja
Mkuu sehemu niliyopo huduma ya 3G ipo na ndiyo maana nikaomba msaada baada ya kuona simu yangu haipati huduma hiyo huku simu zingine zinakamua kama kawaida, Kuna setting nimejaribu lakini inakataa
Kuna sehemu ya kuset
1.GSM/CDMA auto
2.CDMA only
3.GSM only
ukiweka namba moja inakataa na kujipeleka namba 3
Hiyo sehemu unayoongelea wewe lazima iwe namba 3 sababu GSM na CDMA ni system mbili tofauti kabisa.. Tanzania mitandao yote nadhani except TTCL wanatumia GSM. Kama hamna sehemu ya settings nyingine am starting to guess simu yako haina option ya 3G... Kwa waliotumia hiyo simu em ngoja waje, smartphone kutokua na 3G kitu kigumu sana.
poa mkuu, kwa sababu simu hii haina sehemu ya kuseti ya 2g au 3g
mfano wa picha mkuu
Mkuu umeleta picha sasa ndo tumeelewana.. mara ya kwanza ulivoandika CDMA sio WCDMA.. CDMA na GSM ni 2G networks so haziwezi kaa pamoja... ila hiyo yako ina WCDMA ambayo ni 3G technology hiyo inaweza tumika pamoja na GSM... Hiyo simu inauwezo wa kuwa na 3G... inachotakiwa kua ni kwenye either one au two kama unataka 3G... umetiki GSM only ndio maana unapata 2G peke yake, inatakiwa uchague option ya kati ya kwanza au ya pili zote zitakupa 3G connection
angalia jibu langu la mwisho hapo juu nimeelekeza hilo tatizo...Mkuu tatizo liko hapo yani ukitick kwenye moja au mbili unakataa inajipeleka namba tatu,
angalia jibu langu la mwisho hapo juu nimeelekeza hilo tatizo...
angalia jibu langu la mwisho hapo juu nimeelekeza hilo tatizo...
kwenye apn hapo, futa "wap" uandike neno "internet"mfano wa picha
kwenye apn hapo, futa "wap" uandike neno "internet"
kwenye apn hapo, futa "wap" uandike neno "internet"
Mkuu sehemu niliyopo huduma ya 3G ipo na ndiyo maana nikaomba msaada baada ya kuona simu yangu haipati huduma hiyo huku simu zingine zinakamua kama kawaida, Kuna setting nimejaribu lakini inakataa
Kuna sehemu ya kuset
1.GSM/CDMA auto
2.CDMA only
3.GSM only
ukiweka namba moja inakataa na kujipeleka namba 3