leo nimepata jiwe jeupe hadi unaona upande wa pili halafu kwenye mwanga ukitazama vizuri kuna rangi nyingi pia linateleza pia kama limepakwa mafuta hiv naomba kujua ni aina gan ya jiwe a u madin? nimelipata katika mlima ambao tulikuwa tuna chota kifusi kwa juu kuna vimaganda ambavyo vina ng'aa sana tena sana