Wataalamu wa Madini, msaada..Jina la madini haya

Wataalamu wa Madini, msaada..Jina la madini haya

LordOfWinterfel

New Member
Joined
May 28, 2019
Posts
4
Reaction score
0
Habari wakuu, kwa wataalamu wa madini au wenye ufahamu na madini haya, msaada wenu
91be9152-62d4-40c0-9d61-86fe9786924b.jpg
4da8589f-d0eb-4a43-85d2-cf0a89a9787a.jpg
 
Habari wakuu, kwa wataalamu wa madini au wenye ufahamu na madini haya, msaada wenuView attachment 1110673View attachment 1110674
ina tegemea kukutajia jila la hayo madini pasip0 kufanya analyisis ndipo wizi huanza kutokea

point yangu ni kwamba kufahamu ni madini gani kwa hatua za awali ni lazima upitie vitu mbali mbali ikiwemo colour,streak,hardness,magnetism,specific gravity n.k

naweza nikakwambia kuwa hiyo ni quartz with impurites au amethyst au toumaline au emelad lakin ukifanya analysis unatoa jibu moja kwa moja bila kubabaisha kwa kutumia vifaa maalum (ikiwepo microscopic behaviour) na sifa linganishi
tttt
 
Back
Top Bottom