Sawa lakini naona Kuna CV nyingine watu hawajaweka Sasa sijui ni optional maanake uweke au usiweke hamna madhara?Personal profile weka, career objective iweke kama unakoituma inaendana na objective.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ooh Asante SanaHakuna shida yeyote kikubwa taarifa za msingi ziwepo hayo mengine Ni nyongeza tu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sijui kama atakuwa amekuelewa.Ungekua mtoto wangu kwanza ningekutandika viboko ...mbaff kabisa..[emoji2955]
Hivi huko shuleni mlienda kusomea ujinga ama nini...[emoji848]
Bilashaka atahisi kama nimemfokea wakati yeye ni graduate wa udsm ...🤣Sijui kama atakuwa amekuelewa.
Soft Skills ni changamoto kubwa sana kwa vijana.
Ndiyo maana waajiri wengi wanatutilia mashaka.
Uko vzur chief,Unaweza kuviandika vyote viwili katika personal profile
Kumbuka kwenye personal profile haina umuhimu wa kuandika information ambazo utaziandika kwenye vipengele vingine.
Andika
who you are professionally and career wise, industry gani upo, personal traits lakini pia your aspiration ambazo ndio zaweza career objective.
Vyote hivi uviandike briefly and in simple words
Rahisi ni kuweka labda profession yako, previous career ambayo inakupa utambulisho zaidi mfano
"A business development officer and Procurement professional who is mostly experienced in FMCG industry..
"
Hapo unaweza kuongeza na skills zako ambazo ni the most outstanding..
Paragraph ya pili ndio ya kuweka hizo personal attribute sijui hardworking, persistent, you name it then malizia na career objective, kufanya kazi kuna maana gani kwako and what you want to achieve
Ukielezea briefly na lugha inayoeleweka, ni viparagraph viwili vilivyoshiba vitatokea..
Hivi ndivyo navyofanya, mwenye mawazo extra atakusaidia au atakaenikosoa pia, nipo open kujifunza
Wewe mwenzetu ulivyograduate ulikua unajua kila kitu?Ungekua mtoto wangu kwanza ningekutandika viboko ...mbaff kabisa..🤨
Hivi huko shuleni mlienda kusomea ujinga ama nini...🤔
Asante Sana nimepata kituUnaweza kuviandika vyote viwili katika personal profile
Kumbuka kwenye personal profile haina umuhimu wa kuandika information ambazo utaziandika kwenye vipengele vingine.
Andika
who you are professionally and career wise, industry gani upo, personal traits lakini pia your aspiration ambazo ndio zaweza career objective.
Vyote hivi uviandike briefly and in simple words
Rahisi ni kuweka labda profession yako, previous career ambayo inakupa utambulisho zaidi mfano
"A business development officer and Procurement professional who is mostly experienced in FMCG industry..
"
Hapo unaweza kuongeza na skills zako ambazo ni the most outstanding..
Paragraph ya pili ndio ya kuweka hizo personal attribute sijui hardworking, persistent, you name it then malizia na career objective, kufanya kazi kuna maana gani kwako and what you want to achieve
Ukielezea briefly na lugha inayoeleweka, ni viparagraph viwili vilivyoshiba vitatokea..
Hivi ndivyo navyofanya, mwenye mawazo extra atakusaidia au atakaenikosoa pia, nipo open kujifunza
Shukrani lakini pia kila CV inatakiwa kuendana na kazi unayoomba zaidi.. Usilisahau hiliAsante Sana nimepata kitu
Ona mjinga mwingine huyu...😂😂Wewe mwenzetu ulivyograduate ulikua unajua kila kitu?
Acheni kujifanya kuwa nyie mko perfect sana.
Mtu kauliza jambo msaidie mawazo kama unajua,sio kuanza kuponda ujinga tu.