ally kitupe
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 259
- 218
tumia dreamweaver kutengenezea hiyo website na uinstall wampsaver
Najifunza mambo web design lakini kupitia internet kuna sehemu Hii nimekwama nisaidie kila nikiweka link inakataa kusearch inaniambia era nisaidieni jamani uwa naandika link namna Hii
<!DOCKTYPE HTML>
<html>
<body>
<p><a href="http://www.google.com/Facebook;/">click here</a>for Facebook sign up</p>
</body>
</html>
Kama kuna mistake apo nisaidieni wadau
Ushauri mzuri huu, fanyia kazi kijanaUnachotaka kufanya hasa ni kipi?
Una sababu ipi ya kuweka hiyo link google.com/facebook?
Na hapo kwenye red, sio DOCKTYPE, ni DOCTYPE.
Link ipo sawa kabisa, na ukifungua inafunguka, tatizo inaleta "error" sio "era" sababu google hawana url ya hivyo. Kama ulitaka impeleke mtu facebook ungeweka facebook.com, na kama ulitaka kumfanya mtu a-sign up kwa kutumia facebook hiyo usisumbuke kuisoma sasa hivi, iko above uelewa wako, utahitaji kujua mambo mengi sana hadi uweze kuweka hiyo feature.
tumia dreamweaver kutengenezea hiyo website na uinstall wampsaver
Mr IT nipo check me
Unachotaka kufanya hasa ni kipi?
Una sababu ipi ya kuweka hiyo link google.com/facebook?
Na hapo kwenye red, sio DOCKTYPE, ni DOCTYPE.
Link ipo sawa kabisa, na ukifungua inafunguka, tatizo inaleta "error" sio "era" sababu google hawana url ya hivyo. Kama ulitaka impeleke mtu facebook ungeweka facebook.com, na kama ulitaka kumfanya mtu a-sign up kwa kutumia facebook hiyo usisumbuke kuisoma sasa hivi, iko above uelewa wako, utahitaji kujua mambo mengi sana hadi uweze kuweka hiyo feature.
Sorry.. Off-topic kidogo.
Mkuu nime ku PM kwenye NullPointer ? I hope nitapata majibu soon...?
So when you code using html, do you program or marking up?katavi graphics html sio programming language. Ni markup language. Watu wengi huchanga sana hapo
Marking Up your pageSo when you code using html, do you program or marking up?