ishuke below 0.35V kutoka ngapi ?D.C Voltage itashuka below 0.35V
chini ya 0.5V, hmm, labda uwe na external source kuipawa iyo buzzer na iyo IC hapo (LM3XX),Proteus sina.
In short voltage inatakiwa kudrop from 3V mpaka 0.5V ambayo ndio standard.
In case ikishuka below 0.5V kunakuwa na tatizo. Ila tatizo litakuwa worse endapo itafikia 0.14V
Sasa nahitaji system ambayo itatrigger buzzer voltage itakapofika 0.3V mpaka 0.35V (eneo hilo).
-18V ni kwamba supply ni 18V ila iko reversed, haimaanishi imeshushwa mpaka 0V mpaka -18Vrange ya -18V to positive 18V