Naombeni msaada wenu ni jinsi gani naweza kutumia Megabytes ninazopewa kutokana na bundle za kawaida ninazonunua tofauti na kujiunga na special bundle kwa ajili ya internet!!
Naombeni msaada wenu ni jinsi gani naweza kutumia Megabytes ninazopewa kutokana na bundle za kawaida ninazonunua tofauti na kujiunga na special bundle kwa ajili ya internet!!
mkuu, download blackberry setup for desktop, then uwe unachomeka kwenye computer ndo uwe unatumia vifurushi vyako kama kawaida, yan use your bb device as a modem...
lasivyo hizi njia za panya zakutumia bundle via phone..zinakuaga na expiry date au time
Fanya Settings zifuatazo hapo chini. Tick APN SETTINGS ENABLE, Kisha kwenye USERNAME FOR APN jaza internet
Kwingine kote usijaze kitu, kisha SAVE
OPERAMINI
Baada ya hapo download Opera mini kwa kutumia WIFI
Hii utaitumia kusurf website mbali mbali na kufanya download ndogo ndogo
WHATSSAP
Download Whatssap kwa kutumia WIFI pia kisha Fanya settings zifuatazo
Home Screen --> Menu button --> Options --> Applications--> whatsaap messenger --> edit permissions --> Connections --> allow all .--> save --> power off --> battery out---> reboot
NB, Ni vizuri ukatafuta WIFI connection kisha tumia browser ya BB kudownload Whatssap, Operamini na Facebook
Nimepata usaidizi kutokana na swali lako kaka, me pia nimepatwa na hiyo shida sikujua nifanyeje. Baada ya kugeuza hizo settings za TCP/IP.Sasa nahitaji kutafuta WI-FI niweke opera mini na whatsapp