Wataalamu wa Afya -- Kazi za kufa mtu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wataalamu wa Afya -- Kazi za kufa mtu

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by tzjamani, May 30, 2011.

 1. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wizara kwa kushirikiana na BMAF, inatangaza nafasi za kazi kwa wataalam wa afya 230, wa kada zifuatazo:

  Taaluma Nafasi wazi
  i. Daktari ( Medical Officer) 14
  ii. Mfamasia ( Pharmacist) 5
  iii. Katibu wa Afya ( Health Secretary) 3
  iv. Mteknolojia - Dawa (Pharmaceutical technician) 4
  v. Mteknolojia – Maabara ( Laboratory Technician) 12
  vi. Daktari Msaidizi ( Assistant Medical Officer) 8
  vii. Afisa Muuguzi Msaidizi ( Assistant Nursing Officer) 25
  viii. Tabibu ( Clinical Officer) 98
  ix. Muuguzi (Nurse) 56
  x. Tabibu Msaidizi ( Clinical Assistant) 5
  Jumla 230

  Welcome to the BENJAMIN WILLIAM MKAPA HIV/AIDS FOUNDATION
   
 2. M

  Mr. Masasi Member

  #2
  May 30, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Haya wenye sifa zao sasa...
   
 3. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,634
  Likes Received: 1,401
  Trophy Points: 280
  location wapi?
   
 4. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2011
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Asante sana
   
 5. M

  Mbogo Ng'wisabi New Member

  #5
  May 31, 2011
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naitwa Mbogo Ng'wisabila jinsia ya kiume, taaluma yangu ni Afisa tabibu (clinical officer), sijaajiriwa hivyo basi natafuta ajira.
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  bmaf ndio nani?
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  benjamin mkapa aids foundation

   
 8. m

  mchaih New Member

  #8
  Jun 3, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bmaf kazi yao nzuri sana, je lakini wamejipanga?
  hawajasema faida zingine kama zipo. kama yeyote azijuwa azianike tuone kama kuna green pastures.
   
Loading...