Zuia Sayayi
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 841
- 140
Jmn naomben msaada kwenye hli ri program,
natumia adobephotoshop CS3 extended
na2mia kuEdit (background) picha hapa sasa nmeisha idrag ile pcha yangu kwenye background hucka, tatzo n kwamba ile pcha imekua kubwa mno mpaka imeshndwa kuwiana na background yenyewe na nkianza ku risize inapungua yote pamoja na background,
naomba anae faham anijuze namna ya kuipunguza pcha peke ake 2 bila kuathil bg'
thankx