Wataalamu tunao - tatizo ni wanasiasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wataalamu tunao - tatizo ni wanasiasa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Adili, Apr 7, 2011.

 1. A

  Adili JF-Expert Member

  #1
  Apr 7, 2011
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 2,010
  Likes Received: 432
  Trophy Points: 180
 2. deni

  deni Senior Member

  #2
  Aug 11, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 182
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Ni kweli wasomi tunao lakini hivi hatutaweza kufanikiwa kwa kua watalam hao kama huyo dr nzotta sio wa maswala ya siasa ingalikuwa inchi ili iendelee inahitaji wanasiasa wataalam
   
 3. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Mtu yuko Sweden unasema wataalam tunao? Vipi mazee?

  Tena katutukana Watanzania na nchi yetu, anadai ameona akikaa Tanzania "akili zangu zitaoza."

  Kibabu hakina uzalendo, kinalaumu eti malighafi zinaibiwa na wageni kwa sababu hatuna wataalam, sasa anataka mtaalam gani abaki nchini kama yeye anaona akibaki ataoza? Mzandiki mkubwa babu huyu.
   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,082
  Likes Received: 6,545
  Trophy Points: 280
  wataalam wa nini ikiwa hata toothpick na pamba za kuosha masikio vinaagizwa nje ya nchi, hapa tz kuna wataalam gani????????????? ukisema kuna wezi wa kalaam nitakuunga mkongo.
   
Loading...