Wataalamu Nishaurini hapa Kunani?

Unachumbiwa wewe umezubaa tu..
Peleka posa huchoki vya wizi.
 
Mimi manzi wangu niliempenda sana akaanza sarakasi hapo juz juzi nikakaa kimya kama simuoni saivi et bby umenitenga Mara bby nataka nije nikuone..

Jibu ninalotoa nitakuvideo call utaniona
 
Kakuchoka na mambo yako yaleyale kila siku,nahisi kajiuliza hujamuoa kila siku ñgojera zilezile,kitanda kilekile,style zilezile pesa nayo huna,ameamua tu kuangalia ustarabu mwingine,Nakushauri tafuta pesa usiku na mchana ukizipata atarudi
 
Daah
 
Ahahahaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…