Wataalamu nisaidieni mwenzenu

Wataalamu nisaidieni mwenzenu

Joined
Oct 31, 2019
Posts
25
Reaction score
25
Habari za humu wana jamvi.

Naamini Jumapili imekuwa poa sana, ambao mambo hayajakaa sawa Mungu atufanyie wepesi.

Mimi sio mwenyeji sana humu JF ila naomba niende moja kwa moja kwenye mada.

Kwa muda mrefu nimekuwa katika hali ya sintofahamu kuhusu hali hii jicho langu limekuwa likicheza sana upande wa juu na wakati mwingine upande wa chini.

Kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu hali hii naombeni mnisaidie kufahamu maana yake au inasababishwa na nini.

Nitangulize shukurani zangu ndugu zangu
 
Nb. Usidanganywe na wasoma nyota au wapiga ramli nk kua kuna maana yoyote katika hali hiyo..It’s forbidden kwa binaaadamu wa kawaida kuona future (mambo yajayo) au kutaka kufahamu mambo yajayo...

Kwanini usiende kituo cha afya mkuu?
Au unaamini katika vichezo vya mwili?
 
Back
Top Bottom