Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 996
habari jf,
Napenda tu kupata mawazo kutoka kwa wataalamu wa kutengeneza website wanaonaje muonekano na mpangilio wa website hii?:
http://maajabuyamaji.net/
Haya tena ma-great thinkers, baada ya kama miezi 3 tangu niilete hapa hii website, mwishowe nilikubaliana karibu na yote niliyoshauriwa hapa, baadaye nikaitengeneza sana mpaka nikapoteza kila kitu, hali ilikuwa mbaya mpaka ilibidi nibadili domain name kutoka .com wakati ule mpaka .net kama inavyosomeka sasa; bado yapo yanayoshughulikiwa lakini muangalie tu namna nilivyoitikia mawazo yenu.
Nilichoshukuru ni kuwa, upande wa content hakuna aliyelalamika, nashukuru hivyo kwa kuwa hilo ndilo lengo langu mpaka muelewe!!!.
www.maajabuyamaji.net