Nataka kufanya hiki kitu lakini kabla sijafanya nikaona nije kwenu kwanza wajuzi.
Nikichukua solar panel ya watt 45 nikaweka juani then nikaiunga hadi kwenye betri LA GARI la volt 24 ( N120 ) kisha kutoka kwenye nikaunga invetor ndogo tu kisha nikawa natumia TV mbili za ( Inchi 21 ) kwaajili ya kuchezesha game ( play station ) je nini kitatokea. je zitaweza kufanya kazi kwa zaidi ya masaa 8?. JE betri ya gari itaweza kuchajiwa na panel. Je kuna ushauri wowote