Wataalam wa video editing naomba mnisaidie.

Wataalam wa video editing naomba mnisaidie.

baina

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
219
Reaction score
60
Mimi ni mjasiliamali kwa upande wa video shooting. Tatizo langu ni kwamba nime-edit video na baadae kui-burn. Sasa tatizo lake ni kwamba ina-freeze (kuganda), mteja wangu sasa kama vile kitanuka. Ndugu zangu hii kazi sasa ni kama miezi sita tangu nimeanza hivyo sijawa na utaalamu mkubwa. Hivyo naomba msaada wa jinsi gani naweza kufanya marekebisho katika movie hii,

nisaidieni jamani. Na sina shaka msaada jamvini ni kitu cha kawaida.
 
Inaganda kwa maana DVD inakwama kwama, au inaganda vp kijana, na je ikiwa kwenye time line kabla hujafanya out put inaganda au inaplay fresh na je umeburn internal au umetumia external?.........kufanya story fupi tengeneza file kwa kufanya rendering project yako kisha ufanye output kwa camera yani uingize kazi yako kwenye DV Tape uone.
 
we sio mjasiliamali, kuokoa muda wa mteja chukua mzigo peleka kwa mtu anaefanya biashara sawa na wewe mlipe kidogo, mpe mteja mzigo kwa wakati, utakosa tenda next time, ndio maana mnazidiwa akili za biashara na wahindi.
 
bro he asked for help not insults!!
 
Inaganda kwa maana DVD inakwama kwama, au inaganda vp kijana, na je ikiwa kwenye time line kabla hujafanya out put inaganda au inaplay fresh na je umeburn internal au umetumia external?.........kufanya story fupi tengeneza file kwa kufanya rendering project yako kisha ufanye output kwa camera yani uingize kazi yako kwenye DV Tape uone.
inaganda kwa maana ya ku-stack wengine wanasema ku-freeze. ni kwamba tayari nimei-burn ktk DVD na ktk burning nilitumua internal. Shida ni kwamba rendering tayari nimefanya na ndo nika-burn, na sina hiyo copy ktk pc yangu, ndo maana nikauliza kama inawezekana hiyo dvd ya mteja kui-copy na kuifanyia matunduzi ili kuondoa matatizo hyo. nisaisieni jamani kama inawezekana.
 
we sio mjasiliamali, kuokoa muda wa mteja chukua mzigo peleka kwa mtu anaefanya biashara sawa na wewe mlipe kidogo, mpe mteja mzigo kwa wakati, utakosa tenda next time, ndio maana mnazidiwa akili za biashara na wahindi.

alafu yeye ajifunzelini? Ujinga ni mzigo
 
alafu yeye ajifunzelini? Ujinga ni mzigo

unafikiri kama ng'ombe anatakiwa kumhudumia mteja kwa haraka na kwa wakati, yeye atajifunza kwa muda wake, let me know where is your head btn your shoulder or between your legs?
 
dah, now you're calling me a pile of Sh*t for tryn 2 correct you!! Its okay though, I've dealt with People like you before, they usually have a troubled child hood, abused, insulted, bullied and stuff like that and judging from your username the past events have been fused in your subconscious, which explains why its the first thing which popped up in your mind as the ID(if i were to conduct a Rorschach test on you, i would confirm this), as a result you say things 2 downgrade people and make your self feel better sort of in control of the situation. I do feel pity for you mate that's ol i can say.!!!

my apology brother.
 
Jieleze vizuri ueleweke, inaganda ukiplay wapi? Ukiplay hiyo dvd kwebye pc inaganda? Ukiplay kwenye dvd deck inakwama? Ukuplay video uliyotengeneza kabla ya kuiburn inakwama? Somo hapa ni kwamba NEVER EVER delete original video uliyoproduce na original source footage.
 
Kina Mwigulu na genge lake wameshindwa? Ooops, my bad!
Haya mambo ya wataalam wa IT ngoja tuwaachie wenyewe.
 
Ndugu, vipi kama ukijaribu ku-copy contents za hiyo DVD kwenye computer yako, ikikubali ku-copy una-burn upya kwenye DVD mpya.

La kujifunza: Kama unamaanisha kufanya hiyo kama biashara/ajira, uwe na library yako ambamo kila kazi ya mteja wako utakuwa unatengeneza copy yako na kubaki nayo ili kama ikihitajika mbeleni uwe na pa kuanzia.
 
I know is the program that have some conflict with the video files dats all, jus use CS5 adobe primiere make sure during the project starting the settings of it matches the video format shooted by the camera n not that has beed imported from the cam, last during the export make sure at video session set to DIV 25 while audio is at un-compressed mode /or kama ulitumia HD set it to standard HD of 1280 by 720 au Full HD 1920 by 1280. Karibu kwenye Fan.
 
Back
Top Bottom