Wataalam wa technology msaada wenu plzzz...

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,303
naomba mnisaidie namna gan naweza kumtumia mtu file la computer lenye kama gb 50 hiv on line au posta au vyovyote
 
tuanze na posta.
-kanunue hard disk ya gb 80 lieke ndani file lako eka hardisk kwenye bahasha nenda posta kaitume hio harddisk. hii njia ghali lakini ni safe.

online
1. kwa kutumia internet sharing
hapa utatumia service ambazo wewe wakati una upload yeye anadownload. njia hizi zinahitaji uwe na speed kubwa ya ku upload ili yeye aweze kulidownload hapo hapo kama una internet ya magumashi sikushauri njia hii.
-sharing kwa kutumia torrent. hapa utatumia private au public torrent na wewe utakua seeder unamu uploadia anayedownload ambaye ndo huyo mtu unayemtumia file
-sharing p2p ya kawaida bila torrent. hii aliizungumzia uncle rukus
maelezo zaidi nenda hapa

https://www.jamiiforums.com/tech-ga...arefest-njia-mbadala-ya-ku-share-ma-file.html

2. online kwa ku upload
hapa utatumia website ku upload file zima ye adownload. ni ngumu kwa 50gb ila inawezekana.

3. split file then upload
njia yetu hii ya kimaskini unalikata hilo file vipande vipande halafu unaupload then yeye anadownload then anaviunga. kukata na kuunga unatumia software inaitwa hsplit

tell me unaweza kuafford ipi nkutaftie maelezo zaidi
 
Njia rahisi tumia posta, split hilo file katika part mbili burn kwenye bluRay, utahitaji BluRay DVD 2.
 
ninayoweza kuafford naona ni hiyo ya disk mkuu.... ila ni folder la movie nataka jamaa anitumie inawezekana nika burn hiyo disk bila matatizo yoyote kwenye laptop yangu?
 
ninayoweza kuafford naona ni hiyo ya disk mkuu.... ila ni folder la movie nataka jamaa anitumie inawezekana nika burn hiyo disk bila matatizo yoyote kwenye laptop yangu?

unamaanisha jamaa yupo nje atume tanzania. inawezekana na kuhusu kuplay kwenye laptop yako inawezekana inaitwa riping hata windows media player inaweza.
 
unamaanisha jamaa yupo nje atume tanzania. inawezekana na kuhusu kuplay kwenye laptop yako inawezekana inaitwa riping hata windows media player inaweza.

Note.ukipata utahitaji blue ray DvD player
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…