Wataalam wa simu, ni nini hiki

Wataalam wa simu, ni nini hiki

Avatar

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
11,128
Reaction score
11,938
Wakuu kwa anaefaham tiba ya hii tatizo, nimeletewa simu hapaukiwasha inaleta hilo wenge kama tv iliyokosa antena.
Ni tecno W3
1A1683EC-7B3D-4F27-862A-10B1CC50BB35.jpeg
 
inaonekana kama ni tatizo la hardware, kioo kimeharibika ama mkanda umelegea. kama ina warranty warudishie.

kujua zaidi ingia recovery kama bado mistari ipo itakuwa sio virusi wala tatizo la software.
 
inaonekana kama ni tatizo la hardware, kioo kimeharibika ama mkanda umelegea. kama ina warranty warudishie.

kujua zaidi ingia recovery kama bado mistari ipo itakuwa sio virusi wala tatizo la software.
Naona kwa sasa ndio haiwaki kabisaaa.. nilikua nategea niingie recovery hapo.
Naona haina hata ile seal kweny nati, sijui kwama watakubali.
Lkn nitaendelea kuitegea kwanza iwake tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom