Mkuu hapo cha kuzingatia ni Picture Quality ya hio project ambayo inachekiwa kwa Resolution ambazo zipo sokoni zaidi ni hizi SVGA 800??600 Pixel. ingine XGA 1024??768 ingine ni WXGA 1280??800Hii ni high definition na inaweza kuproject 720P HD image Top kabisa ni WUXGA 1920??1200 hii ina gonga mpaka 1080p Full Hd jambo lingine la kuzingatia ni Brightness au mwanga wa project kama ni kwa ajili ya home tu na kufundishia chukua yenye 2500Lumens minimum na hao ndo muhimu