Wataalam wa ndoto naombe msaada

Mimi nimekuwa nikisumbuka na ndoto ya kwamba niko na mh. Rais wa sasa na Hii ndoto imejirudia mara 3
Sijajua nini tatizo au maana yake ni nini

Maana yake nyota yako ameichukua yeye na anaitumia ktk shughuli zake!
 
Hadithi njoo uongo njoo utamu koleaaaaaaa
 
hakuna watu wanafiki na wenye roho mbaya kama walokole wa Tanzania.samahani kwa kusema ukweli.

Kama wewe ni mchawi, mganga wa kienyeji, mfuga majini, msoma nyota, mhirizi, na una vibwengo lazima utoe povu!
Hatuchekei kima sisi! Samahani kwa kusema kweli!
 
Kama wewe ni mchawi, mganga wa kienyeji, mfuga majini, msoma nyota, mhirizi, na una vibwengo lazima utoe povu!
Hatuchekei kima sisi! Samahani kwa kusema kweli!

Kwii kwii kwii..! umenifurahisha sana mpendwa wa Mungu, umetoa povu hadi basi, kweli wokovu ni mgumu kweli kweli, hata chembe ya busara na upendo haipo hadi unamwita binadamu mwenzio kima na kujiona mkamilifu. Kwa taarifa yako wasoma nyota ndiyo walioutangazia ulimwengu kuzaliwa kwa Yesu, Mathayo 2:1-12. Ulimwengu Haukujua Mwokozi Kazaliwa Wapi.
 
Kuota sidhani kama kuna maana yoyote zaidi ya kazi ya kawaida ya ubongo
 
Pole mkuu, nchini hatuna wanaotafsiri ndoto siku hizi
 
Kama wewe ni mchawi, mganga wa kienyeji, mfuga majini, msoma nyota, mhirizi, na una vibwengo lazima utoe povu!
Hatuchekei kima sisi! Samahani kwa kusema kweli!

Asante sana mpendwa kwa maneno yako ya kashfa .umethibitisha tabia halisi za walokole.
 
Mkuu hawa ndio wanafiki ninaowazungumzia.huwezi kuamini huyu eti nae ameokoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…