Wataalam wa ndoto naombe msaada

Wataalam wa ndoto naombe msaada

New Nytemare

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
3,400
Reaction score
2,572
Wataalam kuna ndoto tata nimeota kwamba kuna mdogo wangu kafarik..asubui napigiwa simu na dada yangu kwamba kaota mimi na dada yetu mwingine tumefarik..tukamjulisha mama mzaz naye kasema ameota mtoto wa kaka yetu kafarik..Wote tumebak na kitendawili hatujui nini maana ya hizi ndoto...
 
Mmmh hii labda MziziMkavu anaweza sema kitu...sisi walokole hatuamini ktk ndoto
 
Last edited by a moderator:
Labda tu kuna msiba kwenu unakuja but labda ni ndoto tu

Nimewahi sikia watu wakikuota umekufa ni ndoto nzuri sana
sijawahi kuelewa
 
Ndoto zote hizo ni kwa siku moja?

Ila nakumbuka miaka ile marehemu Sheikh Yahya (R.I.P.) alikuwa kwenye kipindi chake cha nyota anadai ukiota kuhusu kifo basi ujue kuna jambo jema litatokea ila ukiota kuhusu harusi litatokea jambo baya.

Tusubiri wataalamu wa ndoto watuambie.
 
Wataalam kuna ndoto tata nimeota kwamba kuna mdogo wangu kafarik..asubui napigiwa simu na dada yangu kwamba kaota mimi na dada yetu mwingine tumefarik..tukamjulisha mama mzaz naye kasema ameota mtoto wa kaka yetu kafarik..Wote tumebak na kitendawili hatujui nini maana ya hizi ndoto...
Mkuu, Wala usijaali...hiyo ndoto ya kawaida!! Mulikuwa mmetupana mda mrefu " sasa mukumbukane "
 
Mungu hakuwa anawapa watu taarifa kwa kupitia ndoto?
Alikuwa anatoa tena kwa wingi sana. Na ndio maana katika kitabu cha Ayabu anasema Mungu husema na mtu katika ndoto mara moja, na mara mbili kama mtu huyo hajali.
 
ndoto huwa zina factors nyingi ili kuzitafsiri...je huwa unasali au kusoma dua kabla ya kulala maana jambo hili husaidia kupata ndoto za ukweli ambazo hazijaharibiwa na mashetani na wachawi..na sometimes MTU unatoka zako bar na ngano ya kumwaga kichwani hapo huenda usipate ndoto kwa uhalisia wake....ndoto uliota wewe naamin haina maana kuna MTU kawatengenezea kichawi wala usiwazie ponda raha
 
Alikuwa anatoa tena kwa wingi sana. Na ndio maana katika kitabu cha Ayabu anasema Mungu husema na mtu katika ndoto mara moja, na mara mbili kama mtu huyo hajali.

Nashukuru mkuu.

Sasa inakuwaje walokole wasiamini katika ndoto?!
 
Kuna mtu wa karibu atajifungua salama na sherehe kubwa itafanyika.
 
Nadhan mungu anataka muokokw ndo maana kawaoneshe ndoto maana atujui saa wala siku mwana wa adamu yuaja
 
Wataalam kuna ndoto tata nimeota kwamba kuna mdogo wangu kafarik..asubui napigiwa simu na dada yangu kwamba kaota mimi na dada yetu mwingine tumefarik..tukamjulisha mama mzaz naye kasema ameota mtoto wa kaka yetu kafarik..Wote tumebak na kitendawili hatujui nini maana ya hizi ndoto...

Mtazungukaaaa weeee
Ukweli ni kuwa in u a family kuna spirit of death/roho ya mauti,msipochukua hatua utakuja kunambia hapa!!
 
Mmmh hii labda MziziMkavu anaweza sema kitu...sisi walokole hatuamini ktk ndoto

Mkuu sema we huamini ktk ndoto,sio walikole!
Mungu anasema Sana na watu wake kwa njia mbalimbali ikiwemo hii ya ndoto,na roho mtakatifu mwaminifu hutufunulia maana!!
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru mkuu.

Sasa inakuwaje walokole wasiamini katika ndoto?!

Mkuu ndo maana nimesema aseme yeye haamini sio walokole.
Walokole tuna amini ktk ndoto, kwasbb Mungu anasema na watu wake kwa nuia tofauti,ikiwemo hii ya ndoto.
 
Mimi nimekuwa nikisumbuka na ndoto ya kwamba niko na mh. Rais wa sasa na Hii ndoto imejirudia mara 3
Sijajua nini tatizo au maana yake ni nini
 
Back
Top Bottom