wataalam wa madish.(ungo)

wataalam wa madish.(ungo)

thanx all.nimejarb lakin bado haishiki

Frequency, symbol rate na FEC mpya ndo hizo hat uki google flysat ndio hivo labda fibre iliyopo ndani ya lnb ujaribu tena V badala H uone kama haikubali ujaribu kunyanyua dish kwenda juu kidogokidogo mpaka signal iwe strong
 
Back
Top Bottom