Joeli
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 4,941
- 3,417
nimerudi likizo home. nimekuta mdingi kaweka dish lile jeusi kama wavu wavu hivi (sijui ni futi ngapi ila ni kubwa)
alishauriwa na fundi aweke kila chumba kingamuzi (akanunua vinne vimeandikwa class hd mpeg4)
zinapatikana channel cha che tu, za hapa na za dini tu.
Tatizo: Nahisi fundi kam mislead au kamtapeli (alimuuzia yeye ivyo videkoda), pia channel ni chache mno.
msaada nnaotaka:
1. haiwezekani kutumia dekoda moja kwa tv zote ndani?
2. haiwezekani kupata channel zaidi kwa dish hilo?
3. nataka nimfanyie mwenyewe, maana uyo fundi uwa anakuja kila mara likitokea tatizo dogo na anaondoka na ukwasi mrefu
uzoefu wangu na madishi almost nil: nilijaribu jana kuirudisha tbc baada ya kusoma humu, ikarudi ila zikapotea itv, eatv na. capital
WATAALAMU WA MADISHI MSAADA WENU PLEASE