Wataalam wa kuandika Research Report

Wataalam wa kuandika Research Report

diaz

Member
Joined
Jan 3, 2013
Posts
80
Reaction score
9
Mtaalam wa kuandika
RESEARCH PROPOSAL
RESEARCH REPORT
PROJECT nk...Anapatikana kwa namba 0716 076 231. Wanafunzi wengi wa vyuo vikuu wamenufaika nami. Kama wewe ni mwanafunzi wa UNDERGRADUATE au wa POST GRADUATE tafadhari usisite kuwasiliana nami kwa namba hiyo hapo juu, au piga namba 0683 978919 ili uongee na msaidizi wangu iwapo namba yangu itakuwa off line.
 
Na report yenyewe ndo itakuwa na hizi "ri" badala ya "li" au kwenye report huwa unabadilika? Naomba jibu tafadhali
 
Mkuu huduma utoayo ni kuwaandikia au kuwa guide?
 
Mtaalam wa kuandika
RESEARCH PROPOSAL
RESEARCH REPORT
PROJECT nk...Anapatikana kwa namba 0716 076 231. Wanafunzi wengi wa vyuo vikuu wamenufaika nami. Kama wewe ni mwanafunzi wa UNDERGRADUATE au wa POST GRADUATE tafadhari usisite kuwasiliana nami kwa namba hiyo hapo juu, au piga namba 0683 978919 ili uongee na msaidizi wangu iwapo namba yangu itakuwa off line.

Ukishawaandikia wao watakuwa wameelewa nini kwenye kozi yao Mfano MBA? Na huko makazini akiambiwa aandike mfano Business Plan kwa ajili ya kuomba Overdraft ataweza? Usiwalemaze wasomi wetu waacha wasome mpaka waelewe namna ya kuandika bila kuandikiwa
 
Aiseee kwa mwendo huu vilaza wengi hawataisha, sasa mkuu wewe unamwandikia ili yeye afanye nn? Tutajuaje kuwa darasan alielewa? Kwaiyo kama ni somo flani unaanza kusoma ili upate cha kumwandikia kwenye research? Too sad.
 
"The end justifies the means"
 
ukishawaandikia wao watakuwa wameelewa nini kwenye kozi yao mfano mba? Na huko makazini akiambiwa aandike mfano business plan kwa ajili ya kuomba overdraft ataweza? Usiwalemaze wasomi wetu waacha wasome mpaka waelewe namna ya kuandika bila kuandikiwa

najua wapo watu wanahitaji huduma hii. Plz, usikatishwe tamaa, tutafute kupitia namba 0716 076 231
 
Piga pesa mkuu ajira zenyewe hamna piga pesa kwa vilaza ndo kujiajiri huku tunasisitiziwa kila siku
 
Mkuu piga pesaa. Mimi nimezipiga sana chuo hizi kwa akina dada na masharobaro
 
Ben za siku nyingi!

Mtaalam wa kuandika
RESEARCH PROPOSAL
RESEARCH REPORT
PROJECT nk...Anapatikana kwa namba 0716 076 231. Wanafunzi wengi wa vyuo vikuu wamenufaika nami. Kama wewe ni mwanafunzi wa UNDERGRADUATE au wa POST GRADUATE tafadhari usisite kuwasiliana nami kwa namba hiyo hapo juu, au piga namba 0683 978919 ili uongee na msaidizi wangu iwapo namba yangu itakuwa off line.
 
Mtaalam wa kuandika
RESEARCH PROPOSAL
RESEARCH REPORT
PROJECT nk...Anapatikana kwa namba 0716 076 231. Wanafunzi wengi wa vyuo vikuu wamenufaika nami. Kama wewe ni mwanafunzi wa UNDERGRADUATE au wa POST GRADUATE tafadhari usisite kuwasiliana nami kwa namba hiyo hapo juu, au piga namba 0683 978919 ili uongee na msaidizi wangu iwapo namba yangu itakuwa off line.

Haya vilaza woteee kazi kwenuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom