Usiwe na haraka. Hauna any bootable USB ujaribu kuboot? Hii itakuwezesha kuendelea ku rule out kama kuna any faulty hardware ama ni hdd pekee.Ubaya wa JF ya sasa hivi bila connection ya kujuana na watu humu hupati msaada.[emoji28]
Daah msaada wenu wataalam [emoji120]
Updates..Usiwe na haraka. Hauna any bootable USB ujaribu kuboot? Hii itakuwezesha kuendelea ku rule out kama kuna any faulty hardware ama ni hdd pekee.
Umefanikiwa kuhamisha dataHabari...
Jumamosi nilikua naitumia Tarakirishi mpakato usiku nikaizima after hours ikiwa nzima kabisa. Jumapili jioni nikaiwasha niitumie lakini ikawa inaonyesha logo kidogo then inakuja rangi nyeupe kwenye kioo kizima (White Screen of Death)
Ikiwa hivyo huwezi kuona lololote wala kufanya chochote..nikajaribu kutumia Functions keys (Safe booting) ikashindikana...Nikataka nijaribu kuweka window haikuwezekana.
Options ikabidi niifungue japo iliniuma coz ndio ilikua mara ya kwanza toka naitumia. Nikatengenisha kila kitu safisha, nikahot na Hot Gun. Nikafunga nikawqsga kitu bado kipo vilevile.
Nikaona niifungie ndani tu for 3days lakini bado iko vilevile.
So nimeona niifngue kisha nitoe HDD nihamishe Data zote zilizomo kwenye Computer nyingie kisha HDD hiyo niiwekee Window nyingine kwa kutumia Computer nyingine then nihamishe kwenye Computer yangu hii mbovu.
Je njia hii itafaa?? Nasubiri Go ahead yenu juu ya hili au kama kuna njia zingine nielekezeni nufanye.
Ahsanteni...🙏
Binafsi ninaweza pendekeza vitu vichache, Kama siku za karibuni ume-update inaweza kua hardware haisupport update kama sivyo inaweza kua ni outdated drivers, pia inaweza kua issue ya graphic card kama hizo zote sio tatizoHabari...
Jumamosi nilikua naitumia Tarakirishi mpakato usiku nikaizima after hours ikiwa nzima kabisa. Jumapili jioni nikaiwasha niitumie lakini ikawa inaonyesha logo kidogo then inakuja rangi nyeupe kwenye kioo kizima (White Screen of Death)
Ikiwa hivyo huwezi kuona lololote wala kufanya chochote..nikajaribu kutumia Functions keys (Safe booting) ikashindikana...Nikataka nijaribu kuweka window haikuwezekana.
Options ikabidi niifungue japo iliniuma coz ndio ilikua mara ya kwanza toka naitumia. Nikatengenisha kila kitu safisha, nikahot na Hot Gun. Nikafunga nikawqsga kitu bado kipo vilevile.
Nikaona niifungie ndani tu for 3days lakini bado iko vilevile.
So nimeona niifngue kisha nitoe HDD nihamishe Data zote zilizomo kwenye Computer nyingie kisha HDD hiyo niiwekee Window nyingine kwa kutumia Computer nyingine then nihamishe kwenye Computer yangu hii mbovu.
Je njia hii itafaa?? Nasubiri Go ahead yenu juu ya hili au kama kuna njia zingine nielekezeni nufanye.
Ahsanteni...🙏
Hdd si ishu. Maan unaweza remove hdd na pc ikawaka ikakupeleka ktk BIOS.Habari...

Dah pole sana. Ingekuwa imeonesha BSOD na ujumbe ambao unasema "your computer is ran to a problem need to restart" ningekusaidia maana juzi tu ndio nimetoka kulitatua hilo tatizo la BSOD.Habari...
Jumamosi nilikua naitumia Tarakirishi mpakato usiku nikaizima after hours ikiwa nzima kabisa. Jumapili jioni nikaiwasha niitumie lakini ikawa inaonyesha logo kidogo then inakuja rangi nyeupe kwenye kioo kizima (White Screen of Death)
Ikiwa hivyo huwezi kuona lololote wala kufanya chochote..nikajaribu kutumia Functions keys (Safe booting) ikashindikana...Nikataka nijaribu kuweka window haikuwezekana.
Options ikabidi niifungue japo iliniuma coz ndio ilikua mara ya kwanza toka naitumia. Nikatengenisha kila kitu safisha, nikahot na Hot Gun. Nikafunga nikawqsga kitu bado kipo vilevile.
Nikaona niifungie ndani tu for 3days lakini bado iko vilevile.
So nimeona niifngue kisha nitoe HDD nihamishe Data zote zilizomo kwenye Computer nyingie kisha HDD hiyo niiwekee Window nyingine kwa kutumia Computer nyingine then nihamishe kwenye Computer yangu hii mbovu.
Je njia hii itafaa?? Nasubiri Go ahead yenu juu ya hili au kama kuna njia zingine nielekezeni nufanye.
Ahsanteni...[emoji120]
Ram yenye fault huwa haipost, kasema logo inaonekana kidogoDah pole sana. Ingekuwa imeonesha BSOD na ujumbe ambao unasema "your computer is ran to a problem need to restart" ningekusaidia maana juzi tu ndio nimetoka kulitatua hilo tatizo la BSOD.
Kwa ushauri tu fungua then check ram. Na kama kuna slot 2 za ram jaribu kuchange slot.
Brand ni Lenovo ThinkpadMkuu Da'Vinci ni pc brand gani?
Hapana siwez kabisa, nimejaribu hata kutumia F Keys ila hazifui dafu coz it's all blank.Je unaweza kuingia kwenye bios setup?
Mkuu yaani ni kama kukapua jicho. Yaani logo inaonekana kwa sekunde tu then rangi nyeupe inatokea. You can't do anythingKama inaonyesha logo kuna uwezekano bios ime corrupt
Ndio nimehamisha zote muhimu kwenye Computer kubwa.Umefanikiwa kuhamisha data
Hata kwenye BIOS haifiki mkuuHdd si ishu. Maan unaweza remove hdd na pc ikawaka ikakupeleka ktk BIOS.
Shida nahisi ipo kwenye Graphics Card, nawaza kuichokonoa naumiaNAWASIWASI na uzimaji wako uliizimaje? Then pc yako em itaje brand ni aina gani coz kuna fault indicators zinavary kutok pc moja na pc nyingine (vendors).
- Motherboard imeenda na maji.
- Screen Fault.
- RAM (check ram).
Unatumia keys gani kujaribu kuingia bios?Hapana siwez kabisa, nimejaribu hata kutumia F Keys ila hazifui dafu coz it's all blank.
Jaribu ku connect hdmi kwenye external monitorNdio nimehamisha zote muhimu kwenye Computer kubwa.
Hata kwenye BIOS haifiki mkuu
Shida nahisi ipo kwenye Graphics Card, nawaza kuichokonoa naumia