Wataalam wa IT, naomba msaada

Wataalam wa IT, naomba msaada

Nyamulekwetu

Member
Joined
Feb 17, 2016
Posts
38
Reaction score
11
Ninaomba kujua kama destop computer ina Wifi? Na kama ipo iko sehemu? Mfano kwenye kwenye kompyuta mpakato huwa kuna alama ukibonyeza tu inawaka na kuendelea kutumia,lakin kwenye desktop computer siioni hyo alama kwenye keyboard km ilivyo kwenye labtop? Msaada waungwana
 
Wireless card ndo inatumika kwa pc kama unayo iyo then connection na wifi ni possible

Ni mgeni wa mambo ayoo mkuu.. Nauliza 2... Iyo wireless card inaingizwajee? Na inakaa sehem gan kweny desktop pc
 
Attachments

  • 54-mbps-wifi-802-11g-pci-wireless-network.jpg
    54-mbps-wifi-802-11g-pci-wireless-network.jpg
    28.3 KB · Views: 61
  • Capture.PNG
    Capture.PNG
    38 KB · Views: 90
kuna onboard card na usb kwaiyo kama unanunua onboard utaiweka kati ya hizo sehem 3
 
Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    9.3 KB · Views: 51
Apoo mkuu nime kupataa vizurii
Nimekuelewaaa vizur kabisaaaa ntazipata wapi mkuuu
 
Nunua usb wi-fi mkuu.
Unapachika tu, kazi inaendelea
 
kwenye duka la computer accessories lolote lakini maximum kko kama upo dar na kama unataka cheap machinga complex zipo wanauza 15000tsh
Apoo mkuu nime kupataa vizurii

Nimekuelewaaa vizur kabisaaaa ntazipata wapi mkuuu
 
kwenye duka la computer accessories lolote lakini maximum kko kama upo dar na kama unataka cheap machinga complex zipo wanauza 15000tsh
Kwa xaiv nipoo mbeyaa apa cjui zitakuepoo?
 
Kwa xaiv nipoo mbeyaa apa cjui zitakuepoo?
Yaa tembelea computer accessories ilio karibu nawe utapata tu,ikishindikana tembelea makampuni ya network providers (tigo,voda,airtel) watakupa ya usb.
 
Siku hizi Kuna USB WiFi adapter ambazo Ni simple na laisi kutumia unachotakiwa Ni kuchomeka katika USB port drive zikisha load na kukaa sawa basi utaweza ifanya laptop ama desktop yako kuweza access WiFi
 
Attachments

  • imagesq=tbnANd9GcTVM9mFYKS_FSUoGQG65TG8TDsISk_5_c49F_fZ0eN2xmXZ8ySZPw.jpg
    imagesq=tbnANd9GcTVM9mFYKS_FSUoGQG65TG8TDsISk_5_c49F_fZ0eN2xmXZ8ySZPw.jpg
    3.7 KB · Views: 49
  • USB_NANO_DONGLE_EDUP_jpg.jpg
    USB_NANO_DONGLE_EDUP_jpg.jpg
    9.3 KB · Views: 69
Siku hizi Kuna USB WiFi adapter ambazo Ni simple na laisi kutumia unachotakiwa Ni kuchomeka katika USB port drive zikisha load na kukaa sawa basi utaweza ifanya laptop ama desktop yako kuweza access WiFi
mkuu zinauzwaje hizo adapter
 
Back
Top Bottom