Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,458
- 3,491
Professional sio mbwembwe mkuu ni vyeti, kuhusu kutumika na mtu yeyote sikatai ila nnaposema professional ni wale wanaotambulika serikalini yaani white hackers na gray hackers hawadhuru, Hawa wengine na Mimi ni black hackers.ALPHA inatumika for penetration testing ( specific wireless network ) not PC na sio kwa proffesional hacker tu, hacker ni hacker ( na inaweza tumika na mtu yoyote ) hayo majina mengine sijui proffesional hacker mbwembwe tu ni kujipa vyeo na umuhimu usio la ulazima
achana na hayo majina hizo ni terminology za kuwafundisha wanafunzi chuo, ukija kwenye field mambo tofauti na watu wanaojipa hayo majina.Professional sio mbwembwe mkuu ni vyeti, kuhusu kutumika na mtu yeyote sikatai ila nnaposema professional ni wale wanaotambulika serikalini yaani white hackers na gray hackers hawadhuru, Hawa wengine na Mimi ni black hackers.
Penetration inadili na password za account kama email, e bank nk, na muda huo unafanya penetration we mwenyewe tayari unakuwa upo online
Sasa utakuwa na akili ya aina gani kupoteza muda,bando na kuumiza kichwa ili upate password ya wireless ambayo dakika mbili mwenyewe akikushtukia anakublock au anabadili password
π dogo anataka kitongaFanya ununue yako mkuu, sijui uko wapi ila savanna bei chee, naona wana vifurushi mpaka vya 49k sijui ile...
Halotel wana cha 55k na kuendelea
Mwambie ajishikilie kidogo, mjini hapa.ππ€£π dogo anataka kitonga
NakaziaMwizi yoyote yule anatakiwa kujeruhiwa
dronedrake Kapilimba wa Mvuti
Nimeona ya kwako umeipeleka juu mno hutaki majirani tuokote hata mawimbi na kofia juu ukaweka πNakazia
Hackers na vyeti wapi na wapi?Professional sio mbwembwe mkuu ni vyeti, kuhusu kutumika na mtu yeyote sikatai ila nnaposema professional ni wale wanaotambulika serikalini yaani white hackers na gray hackers hawadhuru, Hawa wengine na Mimi ni black hackers.
Penetration inadili na password za account kama email, e bank nk, na muda huo unafanya penetration we mwenyewe tayari unakuwa upo online
Sasa utakuwa na akili ya aina gani kupoteza muda,bando na kuumiza kichwa ili upate password ya wireless ambayo dakika mbili mwenyewe akikushtukia anakublock au anabadili password
Angalia usije kuhackiwa ww kupitia hizo hizo unazotaka ku hackWadau.
Hapa kuna router kibao zimenizunguka Ila wadau hawataki kushare password za Wi-fi zao na hawataki kuuza.
Ni app (s)gani nzuri ya kuiba (hack) device zao niweze kuenjoy Wi-fi?
Asante.
Nikiwazaga jina la password ya wifi yangu, miaka 100 Mtu kukisia ngumuEndeleeni kudanganyana et weak..
πππππ
Utafikiri unafaidi wi-fi ya bure kumbe wewe ndiyo unapigwa. Unapitisha mawasiano yako kwa jirani? Ni kama kuanika nyeti zako kwa jirani! BTW ingekuwa ni rahisi hivyo kuweza kupata password za routers za jirani yako unadhani maisha ya mtandao yangekuwa kama yalivyo sasa? Swali lako linaonyesha bado wewe ni mshamba sana kwenye mambo ya teknolojia ya mawasiano.Wadau.
Hapa kuna router kibao zimenizunguka Ila wadau hawataki kushare password za Wi-fi zao na hawataki kuuza.
Ni app (s)gani nzuri ya kuiba (hack) device zao niweze kuenjoy Wi-fi?
Asante.
ππππ cheza huu mkeka uenda ukapata pesa ya sikukuu na kununua route yakoWadau.
Hapa kuna router kibao zimenizunguka Ila wadau hawataki kushare password za Wi-fi zao na hawataki kuuza.
Ni app (s)gani nzuri ya kuiba (hack) device zao niweze kuenjoy Wi-fi?
Asante.
Et ndo wanadanganyana kukisia ππππππ kuna watu hawapo seriously humuNikiwazaga jina la password ya wifi yangu, miaka 100 Mtu kukisia ngumu
Majibu lini hiiππππ cheza huu mkeka uenda ukapata pesa ya sikukuu na kununua route yako
Sportbety
5HVT2C
Ukweli mchunguHakuna namna utaweza kupata hizo password zao kupitia app yoyote ile.
Now we speak the same languageachana na hayo majina hizo ni terminology za kuwafundisha wanafunzi chuo, ukija kwenye field mambo tofauti na watu wanaojipa hayo majina.
Penetration testing nani kakuambia ina deal na password za account kama email ? ( Pen Test ipo lwa ajiri ya kuangalia udhaifu au uimara wa mfumo inaweza ikawa network, system au hata application n.k ) na hapa kunakuwa na technique mbali mbali ambazo hutumika ku simulate real attack katika target husika..
Wengine wanafanya hacking for funny
Unaposema hackers na vyeti wapi na wapi unamaanisha Nini Ile ni program vyuoni na inasomewa kujiongeza kimtaa haibadilishi uhalisia kwamba Ile ni professional.Hackers na vyeti wapi na wapi?
Zile Basics za darasani hazikufanyi uwe what so called "professional hacker".