tumo wengi tunaojifanya tumesoma lakini likija suala la elimu "mie maimuna"
Kama mmoja wapo alivyosema ingelikuwa thread ya ngono au siasa pamoja na eti Raisi hajui kidhungu majibu yangelikuwa mengi,
Kama unajua jibu leta tu nasie tusiojuwa tufaidike kwani ndio hivyo bado tunasoma