Naomba kujua jinsi ya kumtoa mtu kwenye akaunti yako ambaye hapo mwanzo ulimu-add kama friend, hapa nna maana ya kwamba yeye pia asione profile yako kwenye akunti yake, pia namna ya kubatilisha friend request enda ulikosea ku-add friend.
kama bado hajakukubali kua rafki baada ya ww kumrequest kimakosa,nenda kwenye profile yake,utakuta sehem wamekwandikia cancel your friend request,ukishakansel,mblock hataona tena profile yako wala hataruhusiwa kukutxt wala kuomba urafi kwako.