Wataalam wa computer umizeni kichwa hapa

jamani namimi natatizo moja la laptop yangu hp pavallion nc6000 hii? nikiwasha laptop inawaka taa za batani tu na kwenye screen hakuna mawasiliano yeyote na feni ya cpu inawaka nakukata inaleta mchezo wa kujiwasha na kujizima tatizonini nisaidiene kwenye hardware ni check nini hapo

Try to check processor!
 
wakali nami naomba msaada laptop yangu del D 620 inagoma kuwaka mwanzo ilianza kusumbua betri ikawa naweka live umeme naendelea na mambo ila sasa imegoma kabisa nashindwa jua je ni betri au ni tatizo jipya?umeme unaingia kama kawa..
 
inagoma kuwaka kabisa au inawaka bt ina-fail kuboot?
 
Back
Top Bottom