Wataalam wa computer hapa

Wataalam wa computer hapa

Mtupi Danny

Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
35
Reaction score
2
Jaman nna PC aina ya Asus nikdouble click shortcut files au video znafutika nmebadil window lakn bado msaada kwa mwenye kujua wadau
 
naimagine pc yangu ifanye hivi dah..pole mkuu.
Since hujatoa info muhimu zozote ngoja njaribu kukupa solution kwa kuotea,jaribu kuscan virus kwa antivirus inayojielewa,ikgoma jarbu kufanya repair upgrade ikigoma pia embu kagua keyboard kama nzima (hapa utahitaji fundi)
 
Naomba msaada wanajamvi juu ya hili. Fifa 15 kwenye Pc yangu inascratch sana na mwanzoni inapoanza inaanza vizuri lakini ikifika hapo tu tabu inaanza. Msaada please. Inaweza kuload kama dk 10-15
1556484506205.jpeg
 
Back
Top Bottom