swali lako kidogo linapwaya.Lakini usijali nitakujibu kadri ulivyo uliza:Bila shaka hiyo ni laptop,hivyo si mala nyingi motherbord za laptop mpya kuwepo madukani ila waweza kupata kwa mafundi au maduka ambayo sio maalumu.hivyo bie yake haiwezi kuwa ya hakika bali inategemea na nani mnauziana.