Wataalam wa Afya ya akili chunguzeni huyu mtu tafadhali.

Mkubwa umeongea hata ile sherehe ya kutimiza mwaka mmoja ya ukuu wa mkoa ni kiashirio tosha wachilia mbali madudu mengine but Rais Magufuli hana washauri ?
Nanyi mnaousema furani Hana washauri mnaamana hata kichwa chake hakina halmashauri au daraja la kuunganisha kifua na kichwa kimevunjika imebakia kipisi kinachoishia mdomoni kiasi kwamba jambo likitoka moyoni linakwenda Moja kwa Moja mdomoni ?!?!
Kipimo cha afya ya akili kwao ni muhimu sana
 
Dalili za ugonjwa Wake nilisha ziongelea kwenye blogs zingine pasi na shaka tokea siku ile ya kukutana na mashekh na kuombewa akiwa kakaa chini. Mkuu tupo pamoja sana japo wengine wana weza kuichukulia post yako hii kama kejeli. Diagnosis yangu ya kwanza kabisa ilikuwa ni ADHD ( Attention deficit hyperactivity disorder ) Kumbuka kwamba historia yake hasa darasani haikuwa nzuri sana.
 
Nanyi mnaousema furani Hana washauri mnaamana hata kichwa chake hakina halmashauri au daraja la kuunganisha kifua na kichwa kimevunjika imebakia kipisi kinachoishia mdomoni kiasi kwamba jambo likitoka moyoni linakwenda Moja kwa Moja mdomoni ?!?!
Kipimo cha afya ya akili kwao ni muhimu sana

Nimejaribu kurejea ulichoandika mara 4 lakini sijakuelewa point yako lakini ntarudia tena asubuhi labda usingizi unakaribia .
 
Kabla hajachunguzwa akili yake ni lazima Gwajima afungiwe kanisa lake, nyumba ya Mungu huwezi kwenda kuhubiri siasa chini ya ufadhiri wa wauza unga.
Huu ndo ujinga ambao huwa hatuutaki,kukosa akili kwa namna hii ni hatari sana ktk maisha.
Et kaongea siasa huh! Ni wapi Gwaji ametaja chama cha siasa?
Ondoa ujinga hapa tena wa hali ya kutukuka.
 
Kwa sisi wataalam wa saikolojia tunafaham kabisa binadamu anapoandamwa na matatizo flani kutoka ndani ya jamii inayomzunguka basi ubongo wake kufikia kushindwa kuhimili hisia za mwili wake hali inayompelekea kuishia kuugua maradhi ya akili, maradhi haya dalili zake hua Wazi kabisa ikiwemo kufanya mambo tofauti na utamaduni au mazoea ya mazingira yako ya kila siku kwenye jamii inayokuzunguka.


Watu wa aina hii kwanza husongwa na mawazo mfululizo, pili huhufikiria kila anayekutana naye anamtazama kama mkosaji, tatu mtuwa namna hii huindoa imani kabisa kwa binadamu wenzake kwa maana ya kwamba hakuna anayeweza kumsaidia,nne hujiona yuko kwenye ulimwengu wake peke yake na mara nyingine unaweza kumkuta anaongea peke yake na miungu yake, nne hufikia hata kutumia nguvu kubwa ili kulazimisha nafsi yake itulie kama ilivyokua awali kwa kuona afanyacho yeye ni sahihi.


Haiwezekani mtu mzima kiongozi unayetegemewa na umma katika kutatua matatizo yao uamke nyumbani kwako na kubeba vyombo vya usalama vyenye silaha za moto kwenda kuvamia ofisi za watu wasiokua na hatua tena muda wa usiku, huyu mtu anaumwa si bure! hili lazima liwekwe wazi.

Kiongozi mzima huwezi kubeba mtu mtaani mwenye matatizo ya akili ili kutengeneza uongo flani ufanikishe malengo yako, kiongozi wa aina hii kama sio mgonjwa wa akili basi ni hatari sana kwa ustawi wa jamii inayohitaji utulivu.Unapotengeneza uongo wa picha kumsingizia mtu faida yake nini? Hivi huwezi kupangilia propaganda zako kwa namna nyingine ili kupambana na hasimu wako kuliko aibu hii ibayoikumba hadi ofisi yako nzima?

Nimuombe daktari bingwa wa maradhi ya akili pale hospitali ya taifa Muhimbili Dr Frank Massao aende kwa njia ya dharura kumsaidia huyu mtu ili kuinusuru afya ya akili yake pamoja na familia yake kwa ujumla, hapa mtu anaumwa sio hali ya kawaida hii. Kuna wakati mwingine mtu unaweza kufikiria huenda labda ni hali ya ujana,Lakini kwa upeo wangu sidhani kama kijana mwenye akiki timamu anaweza kufanya tukio kama hili.
Kwa hiyo na wewe umeaminishwa na kuamini ni mgonjwa wa akili?!?!?! Okay kwanza hiyo ndiyo ipelekee kabisa mtoto apimwe DNA. Ni mgonjwa wa akili yes je amepata mtoto hajapata?! Na mtoto mbegu imepandikizwa? Kwa sababu ni mgomjwa wa akili ndio Gwajima amruke? Kwa hiyo sio kwamba Makonda apimwe ugonjwa wa akili bali mtoto wa Mgonjwa wa akili apimwe DNA!
 
Back
Top Bottom