Wataalam wa Afya ya akili chunguzeni huyu mtu tafadhali.

Kabla hajachunguzwa akili yake ni lazima Gwajima afungiwe kanisa lake, nyumba ya Mungu huwezi kwenda kuhubiri siasa chini ya ufadhiri wa wauza unga.
Afungiwe kivipi? Jaribu kuficha njaa yako kwanza kwani kati ya Gwajma na makonda ni nani alimuanza mwenzake? Umesahau kuwa makonda ndiyo mchokozi? ulitaka Gwajma abambikiwe kesi atulie tu afanyiwe unyama akae kiimya tu? Acha kuishi kwa fikra za Daud, tambua kuwa Gwajma alipigwa na makonda na yy sasa kaamua kujihami kwa nguvu zote na hahitaji ufadhili wowote kwani hana njaa kama yako, Gwajma ana haki ya kujitetea kwa njia zote kwani amechokozwa sana na bado shilawadu akataka kutumika kukoleza uchokozi lazima utetezi juu ya Udikteta wa makonda uzidishwe ili iwe fundisho kwa watu wajinga wajinga kama makonda Daudi
 
Gwajma anajihami anajitetea baada ya kupigwa sana na makonda cha ajabu wapo watu wajinga wajinga wanataka Gwajma akae kiimya aache kujihami hii ni ajabu hawajui kuwa endapo Gwajma hatajitetea kesho makonda atawafanyia wengine unyama huo na ataendelea kote mpaka atimize Lengo lake, lazima Gwajma atoe mfano ili iwe fundisho kwa wakuu wa mikoa wenye Tabia za Udikteta za kuwabambikia watu kesi:
 
BASHITE = Baba wa Sifuri Hai Iliyopo Tanzania katika Elimu.
Kwa sasa Daud hana tofauti na profesa maji marefu au kibajaji kwani vyeti vyake vya o-level ni zero tupu hivyo huyo ni darasa la 7 tu asijidai kujiita msomi wakati matendo yake kuanzia kumpiga Mzee warioba kutukana watu na kuvamia clouds kijambazi.
 
Kweli kabisa hata mimi nimeliona hili kwa vituko anavyofanya huyu dogo anahitaji ushauri nasaha maana kafanya vituko sana marankulia mara kuvamia jamani watanzania muokoeni huyu
Njia pekee ni magufuli kumfukuza kisha akutane na kesi mitaani afungwe jela apate kujifunza kuwa Duniani ukitenda ubaya malipo yapo hapa hapa Duniani.
 
Isitoshe Bashite ana historia ya kupata sifuri darasani kuanzia primary school, secondary mpaka chuo amemaliza kwa kubebwa! Kuna kitu hakipo sawa kuhusu huyu kiumbe
Yupo zero mpaka kitandani kashindwa kumzalisha mwanamke wake, hana mtoto hata wa kusingiziwa tu ni Aibu jitu zima halina hata mimba za kizushi, kashindwa kuongoza familia ataweza kuongoza jiji kubwa kama Dsm?
 
Kweli kwa akili zako chache hata ulivyo angalia ile clip unaona kabisa kuna uvamizi?
Hakika mme chezeshwa kama watoto na mnacheza tuuu
GSM leo wamemwahidi Ruge milion 400 ili kumpoza asifungue kesi ya kuwavamia na Bunduki, kufa kufaana sasa clouds wanakula pesa zake kwa ujinga wake.
 
Kabla hajachunguzwa akili yake ni lazima Gwajima afungiwe kanisa lake, nyumba ya Mungu huwezi kwenda kuhubiri siasa chini ya ufadhiri wa wauza unga.
Ha ha ha kumbe kutumia vyeti vya MTU mwingine ili kuipata degree ni siasa eeh
Nawe uongozane Nate mkapimwe pamoja
 
Kweli kabisa hata mimi nimeliona hili kwa vituko anavyofanya huyu dogo anahitaji ushauri nasaha maana kafanya vituko sana marankulia mara kuvamia jamani watanzania muokoeni huyu
Mna muonea Bure
Anayemtuma ndiye mgonjwa zaidi
Yule wanaywjifungia wote muda mrefu sijui wanakuwa wanaangalia movie za X au wanakunywa Novida !?
 
Hakuna anayeumwa hata mmoja kisa matukio na maneno ya jamii ndiyo umuangaishe Dr Frank wa watu pale Muhimbili.

Paul Makonda hana dalili yoyote ya ugonjwa wa akili kwa vigezo vya kupima wagonjwa wa akili.

Ni mzima na Anafanya kazi kwa taratibu alizojiwekea mwenyewe ktk ofisi yake may be ambazo hazikufurahishi sana.

Kutembea na vyombo vya usalama tena wakiwa na silaha ni vitu vya kawaida tu ila inategemea ni kwa maeneo gani na kuna jambo gani na ni muda gani.

Tuacha siasa ktk kila jambo
Huyu mtu anaumwa
 
Na bado mpaka Utumbo utawatokea mdomoni lkn Makonda ni Mkuu wa Mkoa wa Dar mpaka 2020 kama hutaki hamia Shambani kwa Mbowe Rombo Mkuu huko shambani utakuwa na Bwana mmoja tu, Mbowe!
Nakuaminia Mkuu kweli kabisa kwa staili ya kujifungia wawili masaa mengi wafanyacho anajua ibilisi haiwezekani kumbadilisha maana utabadiri hata MTU WA kujificha nae kwa kuwaogopa kinya Gwajima
Iwe Mkuu WA mkoa WA muyaya kabisaaaa
 
Yupo zero mpaka kitandani kashindwa kumzalisha mwanamke wake, hana mtoto hata wa kusingiziwa tu ni Aibu jitu zima halina hata mimba za kizushi, kashindwa kuongoza familia ataweza kuongoza jiji kubwa kama Dsm?
Bwa bwa bwa...
 
Kwa sisi wataalam wa saikolojia tunafaham kabisa binadamu anapoandamwa na matatizo flani kutoka ndani ya jamii inayomzunguka basi ubongo wake kufikia kushindwa kuhimili hisia za mwili wake hali inayompelekea kuishia kuugua maradhi ya akili, maradhi haya dalili zake hua Wazi kabisa ikiwemo kufanya mambo tofauti na utamaduni au mazoea ya mazingira yako ya kila siku kwenye jamii inayokuzunguka.


Watu wa aina hii kwanza husongwa na mawazo mfululizo, pili huhufikiria kila anayekutana naye anamtazama kama mkosaji, tatu mtuwa namna hii huindoa imani kabisa kwa binadamu wenzake kwa maana ya kwamba hakuna anayeweza kumsaidia,nne hujiona yuko kwenye ulimwengu wake peke yake na mara nyingine unaweza kumkuta anaongea peke yake na miungu yake, nne hufikia hata kutumia nguvu kubwa ili kulazimisha nafsi yake itulie kama ilivyokua awali kwa kuona afanyacho yeye ni sahihi.


Haiwezekani mtu mzima kiongozi unayetegemewa na umma katika kutatua matatizo yao uamke nyumbani kwako na kubeba vyombo vya usalama vyenye silaha za moto kwenda kuvamia ofisi za watu wasiokua na hatua tena muda wa usiku, huyu mtu anaumwa si bure! hili lazima liwekwe wazi.

Kiongozi mzima huwezi kubeba mtu mtaani mwenye matatizo ya akili ili kutengeneza uongo flani ufanikishe malengo yako, kiongozi wa aina hii kama sio mgonjwa wa akili basi ni hatari sana kwa ustawi wa jamii inayohitaji utulivu.Unapotengeneza uongo wa picha kumsingizia mtu faida yake nini? Hivi huwezi kupangilia propaganda zako kwa namna nyingine ili kupambana na hasimu wako kuliko aibu hii ibayoikumba hadi ofisi yako nzima?

Nimuombe daktari bingwa wa maradhi ya akili pale hospitali ya taifa Muhimbili Dr Frank Massao aende kwa njia ya dharura kumsaidia huyu mtu ili kuinusuru afya ya akili yake pamoja na familia yake kwa ujumla, hapa mtu anaumwa sio hali ya kawaida hii. Kuna wakati mwingine mtu unaweza kufikiria huenda labda ni hali ya ujana,Lakini kwa upeo wangu sidhani kama kijana mwenye akiki timamu anaweza kufanya tukio kama hili.

Mkubwa umeongea hata ile sherehe ya kutimiza mwaka mmoja ya ukuu wa mkoa ni kiashirio tosha wachilia mbali madudu mengine but Rais Magufuli hana washauri ?
 
Hakuna anayeumwa hata mmoja kisa matukio na maneno ya jamii ndiyo umuangaishe Dr Frank wa watu pale Muhimbili.

Paul Makonda hana dalili yoyote ya ugonjwa wa akili kwa vigezo vya kupima wagonjwa wa akili.

Ni mzima na Anafanya kazi kwa taratibu alizojiwekea mwenyewe ktk ofisi yake may be ambazo hazikufurahishi sana.

Kutembea na vyombo vya usalama tena wakiwa na silaha ni vitu vya kawaida tu ila inategemea ni kwa maeneo gani na kuna jambo gani na ni muda gani.

Tuacha siasa ktk kila jambo
Lumumba zeroes mnajionyesha tu
 
Back
Top Bottom