wataalam samsung external hard drive

best bestest

Member
Joined
Apr 23, 2013
Posts
12
Reaction score
1
naomba msaada nina Samsung external hard drive ilikua inafanya kazi vizuri ila ghafla nikiichomeka kwenye computer haisomi wala kuonyesha dalili zozote za kufanya kazi, haiwaki mwanga kama awali, imetulia tu, naombeni msaada wenu tatizo ni nini?
 
Kuna matatizo mawili ila kuna moja ni common so (A)uenda umeidondosha na ika vunja sensa zake(b)uenda circuit yake imevunjika kwa ndani(c)uenda ina virus so itakubidi ufanyie kitu kina itwa RECOVERY ambayo itakiwezesha wewe kurudisha data na files zote alaf uta fanya format ili iludi katika hari yake yakawaida nayote hayo utaweza kufanikiwa ikiwa itakuwa na virus but itashindikana ikiwa disc yake ya ndani ikwa imevunjika.nihayo tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…