kaburu mdogo
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 567
- 400
nipo hapa home naangalia itv,kipindi cha kipima joto,wapo wataalm watatu,"mada ya Leo ni marekebisho mbalimbali ya kodi na tozo katika bageti. Nini tafsiri take kisheria?" Hakika wote wameshindwa kuelewa maana ya VAT