Unaposema ''upendo wa Mungu'' una maana gani? Ina maana anayepigwa na kufariki basi Mungu hana upendo naye? Nadhani huwa tunakosea tunaposema vifo au uzima ni mapenzi ya Mungu. Mungu alitupa akili na utashi ili tuweze kutawala dunia. Alituumba kwa mfano wake. Sasa ikitokea mtu akipigwa risasi tumboni na akapona basi yule atakuwa amepona kwa sababu ile risisa haikuharibu viungo muhimu na damu haikuvuja kwa wingi/aliwahi matibabu.
...hebu tuchukulie Bastola kwa mfano. Wajuzi wanasema zinapimwa kwa Kipenyo na Velosity ya risasi yake, zikijulikana hivi:
.28
.38
.45
Kwamba hiyo 28 bi ya chini kabisa na mtu unaweza ukapigwa sehemu hata za kichwa uka-Survive, lakini hiyo 45 ndio baba lao mwisho wa maneno maana hata ukipigwa Moja tu tumboni Unaanza Safari...!
Uwezekano wakufa ni mdogo,utumbo huteleza,ndiyomaana walengaji shabaha hulenga kifuani kuelekea juu,yaani kichwani,hata hivyo inategemeana na aina ya silaha.
Cause of death kwa watu waliopigwa risasi ni bleeding..
Sasa ukipigwa risasi ya tumbo kama haujapigwa kwenye major blood vessel basi probability ya kupona ni kubwa kama ukiwahi hospitali...
Maana utumbo unaweza kutoboka lakini usife fasta kiasi hicho kama hautoki damu sana..