mbona mnawaonea sana kina bashiteWASUKUMA wanakaa bafuni dakika 30 dakika 5 anaoga zilizo baki anasugua yebo
jamani sijui nimekumbuka nn !nimeangua kicheko haaaaaaaaaaaa!dahWASUKUMA wanakaa bafuni dakika 30 dakika 5 anaoga zilizo baki anasugua yebo
Umewaza nini
Jaman...Warangi me navojua nao wataalam wa kusugua ndala kweli,
Hahahahaha
Sidhani kama wasukuma wana hiyo tabia, naona huwajui vizuri wakerewe, wakala na wajitaWASUKUMA wanakaa bafuni dakika 30 dakika 5 anaoga zilizo baki anasugua yebo
Rogers outjamani sijui nimekumbuka nn !nimeangua kicheko haaaaaaaaaaaa!dah
Kama ndo kweli basi wako waswafi wa vinavyoonemanAmbona mnawaonea sana kina bashite