Wastaafu wengi haswa waalimu watanzania wenzetu hufa muda mfupi baada ya kustaafu

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,967
6,465
Kuna haja serikali, Tasisi kutafiti sababu za vifo vya ghagla vya wastaafu wengi hapa Tanzani , na suluhisho lake, nimeshashuudia vifo vya ghafla vya walimu wastaafu, kama 20 hivi mkoani Tanga na pwani 2014 - 2015
Kinachoniacha nisielewe zaidi wanakufa Kwa nyakati tofauti touti
Wengine ata hawajapokea hela zao
Wengine wamemaliza zotee
Wengine wamebakisha kidodo
Wengine Wameanzisha mirari kama nyumba baada tu ya ujenzi
Ila wengi wanakufa
Ushauri wangu
Nashauri kianzishwe kitengo cha Kuudhuria kwa lazima miaka Miwili kabla ya kustaafu huku kutolewe ushauri na
Concealers
Mashehe
Wachungaji
Wafanya biashara
Wakulima
na
Washauri wengine watakao washauri juu ya maisha baada ya kustaafu
 
maisha ni akili yako tu. dunia haina huruma nawewe, kwahiyo jichunge mwenyewe. hivi haushangai imekuwaje mtoto wa swala anakuwa kubwa wakati kuna wanyama wakali mwituni???? wafe tu
 
Mkuu hata wewe sikushauli urudi kuishi ulikozaliwa baada ya kustaafu utapotea.
 
I don't see kama Wanarudi walikozaliwa
Na kwamba ndo sababu haswa
 
Back
Top Bottom