Yaani hakuna anaewajali Wala kuwakumbuka..Leo ilikuwa ni siku ya Wafanyakazi dunia nzima. Hapa Tanzania sherehe hii iliadhimishwa Mjini Morogoro na mgeni rasmi alikuwa Mhe. Samia Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.
Unaiponda CCM kwani Rais wa Zanzibar ni wa chama gani. CCM chama dume.Kijana wenu ambaye ni Rais wa Zanzibar amewachekesha wazee kweli kweli yaani, amewapandishia pensheni na ile allowance ya mwezi kwa 100% na kawaahidi kuongeza hadi kufikia 150%.
Japo chama ndiyo hiko hiko ila nyie wa bara huko shauli zenu na ccm yenu!.
Fanyeni tu mpango mpate kamba mle kwa urefu utakaowatosha huko kwenye makamati na uteuzi wa wenyeviti wa bodi wa mashirika.
Umeelewa kweli nilichoandika au akili umeziacha sehemu?Unaiponda CCM kwani Rais wa Zanzibar ni wa chama gani. CCM chama dume.