The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,908
- 2,889
Aliyekuwa waziri mwandamizi wa serikali kwa awamu nne tofauti za utawala zilizopita tangu awamu ya kwanza Mhe. Steven Wassira ambae pia alitia nia ya kugombea urais kwa tiketi ya CCM ameibuka na kusema kuwa hana uhakika ikiwa mhe Rais Magufuli anabana matumizi ya serikali kwa kupunguza idadi ya mawaziri kwani ukubwa wa serikali uko palepale.
Chanzo: Mwananchi
Chanzo: Mwananchi