Huyu jamaa ana sumu mbaya sana na kama ni mtu wako wa karibu anaweza kuiteka akili yako kwa jinsi anajua kufix mambo!!!!
Anakanusha kuwa hakuzomewa, eti wale walikuwa walevi!!!
yaaani kuanzia saaa tisa hadi saaa kumi na mbili halafu maswali kumi? na yule kijana nae kamweza kweli, sasa anazungumzia uchumi wa nchi, sijui hata kausomea wapi hukohahahaaaaa wasira bwana, anasema kulikua na watu elfu sita au elfu saba, amehutubia kuanzia saa tisa hadi saa 12 na amejibu maswali zaidi ya 10. . . . hahahaaaa huyu bwana!
Jamaa anataka kumilki kipindi kama yeye ndo tv presenter
Semunyu si size ya Wasira anashindwa kabisa kumuuliza maswali stahili,pengine anamuogopa
Kammeza kabisa presenter. Hili li sura lake naona linamtisha presenter kiasi kwamba anakosa chakuuliza
ITV wamekosea. Wangempambanisha na Kamanda mmoja hapo kama Mh Mdee muone kama angekaa kwenye kiti dkk tano huyo!
je umefuatilia kwa umakini na kujua itv inafanya nini?
kipara ni cheupe ila uso mweusi,anafanana na ccmmi nashangaa huyu mzee wa gombe.. Usoni mweusi tiii ila mikono ina rangi tofauti. Ebu angalia vema wakuu
Ni kweli amempa nafasi kubwa kama kaja ITV kutangaza sera badala ya kujibu maswali, naona anatoa ufafauzi ni kwa nini uchumi unakua kwa kati ya 6% - 7%, ni kama walipeana maswali atakayoulizwa.