Mheshimiwa waziri Wassira yuko live ITV muda huu katika kipindi cha maswali na majibu.
Ninachopenda zaidi ni swali akiulizwa, majibu yake lazima CHADEMA itajwe wakati ataswali alihusu chadema.......
Nimeamia channel ten sasa.
nimekamatwa na hasila.
Anaongea masuala ya Kitaifa na siyo porojo kama za akina SLAA, safi sana
Yeye ni waziri, sasa ulitegemea ataongea masuala gani yasiyo ya kitaifa? Vitu vingine havipaswi hata kuandikwa kwa kuwa viko obviousAnaongea masuala ya Kitaifa ...
Yeye ni waziri, sasa ulitegemea ataongea masuala gani yasiyo ya kitaifa? Vitu vingine havipaswi hata kuandikwa kwa kuwa viko obvious
Ama atakua anatoa wosia au atakua anatia hasira.. teh teh....Mheshimiwa waziri Wassira yuko live ITV muda huu katika kipindi cha maswali na majibu.
Bado hujajenga hoja ...mkuu mbona povu
kwa sababu hautaki CHADEMA iguswe au tatizo nini?
Ningekuwa na uwezo ninge kunyang'anya hiyo Sir name yako, mbuluras.Huu upuuzi wa propaganda huu unaudhi kweli kweli
Ninachopenda zaidi ni swali akiulizwa, majibu yake lazima CHADEMA itajwe wakati ataswali alihusu chadema.......
Nimeamia channel ten sasa.
nimekamatwa na hasila.