Wassira kwenye press conference....!

pinguli

Senior Member
Oct 12, 2010
122
14
katika muendelezo wake juu ya kutathmini upya mkakati wa chama juu ya uvuaji gamba, wassira maarufu kama "tyson" hivi sasa yupo ofisi ndogo ya ccm akiwa tayari kuongea na waandishi wa habari juu ya harakati zake za sasa katika jukumu lake la kukinusuru chama na kusimamia mkakati wa kuvua gamba...!
 
Endelea kutujuza zaidi... Ila hata yeye ni gamba kwa kuwa ni dikteta kama alivyodhihirisha kule igunga alipomlazimisha mkuu wa wilaya kwenda kufanya hujuma dhidi ya CDM. Pia anatumia hiyo nafasi ya uwaziri kufanya kazi za chama chake huku akilipwa mshahara kwa kodi zetu, anatake advantage ya kutokuwepo utawala wa sheria hapa nchini.
 
CCM wameishiwa kiasi cha kumtegemea huyu babu (Wassira)? What do they (ccm) see in this man is beyond logic?
 
huyu wassira ndo msemaji wa chama siku hizi au ni nani?
Mfa maji haishi kutapatapa ndugu yangu. Si wamesikia nape anaweza kukabiliwa na so mahakamani, labda wanamwandaa wassira kuchukua nafasi yake.

Lakini, huyu Wasira ni waziri anayeshughulikia masuala ya mahusiano ya umma na moja kati ya majukumu yake ni kuvileta pamoja vyama vya siasa na makundi mengine ya kijamii katika kufikia muafaka katika masuala ya msingi kwa maslahi ya taifa. Kama atakuwa anafanya kazi za CCM namna huii, hivi kweli atakuwa fair na kudeal na vyama vingine bila upendeleo kwenye masuala ya msingi yenye maslahi ya kitaifa?
 
Babu huyu mwenyewe kachoka na hana hoja,kuna siku aliulizwa swali kule Igunga akajibu utumbo,kama CCM wamemuona huyu ndiye mtaji wao basi ujue chama kinaelekea kufa hivi karibuni.
 
Waandishi wa habari wamuulize kuhusu mkakati wake wa UMAFIA kwenye kampeni za uchaguzi, mfano hai ni Igunga.
 
conference imeisha na kikubwa alichokiongelea ni juu ya mgogoro wa uvccm arusha....!
 
Mlitaka aongee nani yanayohusu CCM?,,Kumbukeni cku CCM watakapo amua kukaa kimya ndipo mtakapo koso dili, maana mnachoongea ninyi au hoja Zenu lazima Zitoke CCM kwanza...
 
Our failures can be attributed to maintaining the same brand of leadership for years....he was there in sixties and by an unfortunate reasons we have him now...a depleted mind for challenges he can never coprehend this is absurd.
 
nadhani ni mbinu mbadala za kumuweka nje ya ulingo nape hasa kwenye press conference kama ishara ya nje ya chama kushidwa kuonyesha dhamira ya ya kweli ya kujivua gamba.
 
tuache majungu muacheni babu afanye kazi yake ya kuimaeisha na kupunguza matatizo ya chama chake ye ni kama mchezaji wa timu,huwezi kumzuia kufunga magoli
 
Back
Top Bottom