haha vipi niliona mahala kiongozi wenu ambaye haruhusiwi kuoa katafuna mke wa mtu , usipoteze muda na njiwa JF mi nimeruhusiwa kuoa hadi 4 , kachunge mkeo .. wameamua kuchinja basi wanachinja hadi wake za watu
Wasira mbona yuko poa tu, hata akiwa Presidaa atafaa ona hii View attachment 92025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg.Stephen Masato Wasira-2015.
Eeeh eeeeh!!! Jamani muwe mnatuwekea "Parental Advisory" kwenye heading...maana nimeifungua sredi nikiwa na mtoto wangu mdogo sasa nahangaika kumbembeleza hapa. Duuuuh!! Kweli kazi ya Muumba haina makosa.
Duuu Huyu Mzee hatari kama si siasa angekuwa Sangoma!!anatisha jamani!mbona ndugu zake hawako hivyo?yeye alikumbwa na nini?kama amezaliwa kwenye moto....du!hahhhaa