Wassira Enzi Za Ujana Wake!

Hapo alikuwa Form One

Hapana, hapo alikuwa ni katibu mtendaji wa TANU wilaya ya Musoma na Mbunge wa Mwibara. Picha hii itakuwa ilichukukuliwa kati ya mwaka 1970 na 1973 hivi.
 
Miaka mitano ijayo atafanana na mon key
 
Acha masihara, evolutionn how????? anatoka kuwa mwafrika kwenda kuwa mzungu au nini?? sidhani kama kwa binadamu kuna evolution tena ita take place.
Evolution ipo na inachukua nafasi yake kila leo,zamani watu walikuwa wana vichwa vikubwa sana na mikono yao ilikuwa mikubwa but leo mafuvu ya binadamu ni madogo kulinganisha na ya zamani.hiyo ni evolution pia,zipo kadhaa wa kadhaa
 
Hapana aisee, hebu niambie zamani zipi unazungumzia??????? na mabadiliko hayo yanachukua muda gani??????? na je yanatokea kwa watu wepi na wamataifa gani????????? plz!!! mifano muhimu kwa any historians naomba nifafanulie haswaaa nielewe maana mimi mwalimu wangu alipata shida sana kunielekeza. nitarudi
 
Ni kweli. Evolution ipo. Ukiangalia hata ukikompea intelijensi ya mtu wa zaman na sasa ni tofauti.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…