PreGE2025 Wassira: CCM ni chama kikubwa hakiwezi kuamrishwa na 'Kibaka'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Akiwa anazungumza kwenye mkutano huko Geita Makamu mwenyekiti CCM, Stephen Wassira amesema kuwa CCM ni chama kikubwa hakiwezi kuamrishwa na 'Kibaka' kuhusu kauli ya 'No reform No election'

"Walikuwa wanajisemea ooh no reform no election, ala! sisi ni chama kikubwa kuliko vyama vyote vya siasa Afrika hatuwezi kuamrishwa na kibaka hapo" - Stephen Wassira, makamu mwenyekiti CCM
Your browser is not able to display this video.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Wasira: Chadema ni chama cha democrasia na matusi
 
Ccm daima
 
Chama kikubwa kinachoiba uchaguzi.
 
Chalamila Alubati umepata mtu wa kukupiga tafu huku hii inaonyesha viongozi wa vegetables ni watu wa aina gani
 
Huyu Babu ataiponza CCM, asifikiri wana CCM wote ni mazezeta.
 
Uzee una matatizo!
Mtu ukishazeeka unakuwa kama mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…