Wassira akimbilia Mahakama ya Rufaa kumpinga Bulaya

kwa mpunga ule aliuoweka Zitto adhalani,,,lazma mzee ashinde sana mahakani na mwishowe atapiga magoti kwa bulaya amwachie kiti
 
Acha ujinga wewe! Lini kingunge kagombea uraisi? Hoja ni kwamba, umezeeka, umechokwa lakini kila siku unaowaita wafuasi wako kiguu na njia mahakamani kwenda kupinga matokeo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…