AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,898
na wewe pia unawaponda udsm kuwa ni wabovu wa kimombo?...
brother, ninyi mlikuwa mnawaponda waliosoma udsm kwamba hawajui kiingereza, mimi nikakuuliza tu kama na wewe unawaponda ama la. jibu ni moja tu, Yes or No. nikuulize tena, na wewe unawaponda waliosoma udsm? au upo kundi gani?Luck or Lack??? Sikubahatika kufika chuo kikuu lakini nafahamu kuna vigezo vingi mbali na lugha vinatumika kupima umahiri wa mwanafunzi. Kuna wale wa fani za uhandisi huko tokea o'level kiingereza chao ni CONSIDER, TAKE a EQUALS TO b,GIVEN x IS CONSTANT n.k leo hii unampatia aandike essay ya somo wanaita DS kama sikosei halafu eti utumie ufanisi katika kiingereza kama kipimo,shame on you!!!
kama wale wa udsm waliofaulu kuliko wale wa vyuo vingine form six, itakuwaje kwa wale waliokuwa wanawaburuta mkia wakadondokea division three?
na wewe pia unawaponda udsm kuwa ni wabovu wa kimombo?...
Mkuu kuto kujitambua na kutambua Hali ya Dunia kwa sasa inakwendaje, kuendeza starehe wanapokuwa vyuoni.
Luck of attitude to success also is the reason.
Luck or Lack??? Sikubahatika kufika chuo kikuu lakini nafahamu kuna vigezo vingi mbali na lugha vinatumika kupima umahiri wa mwanafunzi. Kuna wale wa fani za uhandisi huko tokea o'level kiingereza chao ni CONSIDER, TAKE a EQUALS TO b,GIVEN x IS CONSTANT n.k leo hii unampatia aandike essay ya somo wanaita DS kama sikosei halafu eti utumie ufanisi katika kiingereza kama kipimo,shame on you!!!
hilo neno "luck" ulitaka kumaanisha "lack" au mimi sijakuelewa hapo!?
Nilimaanisha hivyo ''Lack''
Kumradhi.
afadhali hapo kwenye red umejirekebisha, ulikuwa unawaponda wa udsm huwa wanakosea kama ulivyokosea wewe tu. ni kitu cha kawaida kama kiingereza sio mother tongue mzee.Bora umekuwa wazi...
kitu cha muhimu katika maisha ni basic knowledge kuhusu maisha tu, na ukibahatika kusoma shukuru Mungu. baada ya hapo utatumia akila yako kutafuta maisha kwa msaada wa Mungu utafanikiwa tu uwe unajua kiingereza au hujui, uwe umesoma udsm au hujasoma udsm. hao waliosoma udsm wanaongea kiingereza bora kuliko wachina wengi sana wenye phd, kuliko wataliano, kuliko scandinavians wengi sana. hivyo hamna haja ya kuchekana kwasababu hata waliowacheka wenzao wamechemsha hapahapa kwa kuongea broken....ukipata kiingereza cha kuwasiliana tu vingine vitakuja baadayeeee. nimesoma na watu ambao hawajui kiingereza kuliko mimi. wachina, waspaniola, wabrazil, wataliano, wajapan etc.ukipata division one form six haimanishi kwamba unajua sana kiingereza kuliko aliyepata II, III, IV,au O. Kuna wanafunzi wanapata "A" kwenye mitihani ya kiingereza lakini ukimwambia aongee au aandike insha ya kiingereza hutaamini kama huyu ndie mwenye A kwenye mtihani. Mfumo wetu wa elimu una matatizo sana. Ndio maana hata wasiojua kusoma na kuandika darasa la saba wanafaulu kwenda secondary.
Luck or Lack??? Sikubahatika kufika chuo kikuu lakini nafahamu kuna vigezo vingi mbali na lugha vinatumika kupima umahiri wa mwanafunzi. Kuna wale wa fani za uhandisi huko tokea o'level kiingereza chao ni CONSIDER, TAKE a EQUALS TO b,GIVEN x IS CONSTANT n.k leo hii unampatia aandike essay ya somo wanaita DS kama sikosei halafu eti utumie ufanisi katika kiingereza kama kipimo,shame on you!!!
oky,naona kma kuna contadiction. jana kulikuwa na kikao,profesa mmoja alikuwa analalamika,vyuo vingi kwa ujumla tanzania assignment zao kuanzia watu wa certificate na bachelor zinafanana,yaani jinsi anavyojibu mtu wa bahelor na wa level ya chini ni approach ile ile.kuna asilimia kubwa haujasoma UDSM, ulitamani kusoma udsm ukanyimwa nafasi na una bifu na udsm. kwa taarifa yako, ile cream ya juu kwenye matokeo ya form six tz ndio huwa inaenda udsm, huko kwingine utawakuta division kuanzia three na kuendelea. jiulize why ninyi mnaojifanya kujua kiingereza hamkupata division one form six? acha kuchukia chuo bora tz bwana.
mkuu, ardhi huwezi kuitofautisha na udsm, so is muhimbili. hata hivyo kwa hivyo vyuo vya serikali, chuo bora na kitakachotoa watu wanaojua kiingereza walau afadhali ni udsm kwasababu wengi hapo wamesoma masomo ya arts na wanajua kujieleza na kuandika essays etc kama walivyochangia wengine huko. muhimbili ni wanasayansi. ardhi ilikuwa udsm na bado ni udsm tu ndani ya campus ya udsm hata kama kimejitenga.umeshaambiwa chuo si udsm pekee. viko vingi tu kama atdhi, muhimbili, sua n.k
nakubaliana na wewe.oky,naona kma kuna contadiction. jana kulikuwa na kikao,profesa mmoja alikuwa analalamika,vyuo vingi kwa ujumla tanzania assignment zao kuanzia watu wa certificate na bachelor zinafanana,yaani jinsi anavyojibu mtu wa bahelor na wa level ya chini ni approach ile ile.
nazani mtoa maada kasosea weka title,sababu kasema wasomi alafu kabase ud peke yake.vyuo karibu vyote ni yale yale,tatizo kubwa ni msingi tuliotoka nao chini.
mimi kusema ukweli nimetembelea na kukaa na wanafunzi wa vyuo hivi: udsm,mzumbe,udom,cbe,ifm, tia ,matatizo kama haya yapo ,tena kwa vyuo kama Ifm, Tia kuna uhafadhali maana approach wanayotumia waalimu sio kama vyuo vikuu vya umma. vyuo kama mzumbe,uds waalimu wanaasume wanafunzi wapo vizuri tangu secondary na wanafunzi
wengi wanafaulu kwa nguvu zao za kudesa na kukalili kwa sana,hivyo lecturers hufundisha kisela au sometimes akifundisha haangalii kwa ukaribu kama wanafunzi wanaelewa au la,yeye ilimradi kamaliza syllabus. kwa vyuo kama Saut,ifm,tia waalimu wanafundisha kama secondary,wanajitoa sana.
NOTE:Maoni yangu hayajasema chuo chochote specifically.tatizo ni vyuo vyote.
na wewe pia unawaponda udsm kuwa ni wabovu wa kimombo?...
kitu cha muhimu katika maisha ni basic knowledge kuhusu maisha tu, na ukibahatika kusoma shukuru Mungu. baada ya hapo utatumia akila yako kutafuta maisha kwa msaada wa Mungu utafanikiwa tu uwe unajua kiingereza au hujui, uwe umesoma udsm au hujasoma udsm. hao waliosoma udsm wanaongea kiingereza bora kuliko wachina wengi sana wenye phd, kuliko wataliano, kuliko scandinavians wengi sana. hivyo hamna haja ya kuchekana kwasababu hata waliowacheka wenzao wamechemsha hapahapa kwa kuongea broken....ukipata kiingereza cha kuwasiliana tu vingine vitakuja baadayeeee. nimesoma na watu ambao hawajui kiingereza kuliko mimi. wachina, waspaniola, wabrazil, wataliano, wajapan etc.
wewe huna hata haki ya kuwacheka wenzio wanaokimbia kizungu. kaa kimya tu acha wengine waongee. umeshaanza kujitetea na visababu vya ajabu.hahaha.Typing error hiyo, Kwani hata kwenye Uandishi wa katiba ya nchi yako unatokea.
wewe huna hata haki ya kuwacheka wenzio wanaokimbia kizungu. kaa kimya tu acha wengine waongee. umeshaanza kujitetea na visababu vya ajabu.hahaha.
kama wale wa udsm waliofaulu kuliko wale wa vyuo vingine form six, itakuwaje kwa wale waliokuwa wanawaburuta mkia wakadondokea division three?
hata waingereza wenyewe sio wote wanaoijua lugha ya kiingereza kwa ufasaha. Tutakuwa sisi watz ambao ni lugha ya tatu (kwanza kikabila, pili kiswahili). after all hata kiswahili chenyewe hatukijui tunaungaunga tu. kama ulivyosema cha msingi ni kuwa na maarifa kichwani maisha yatasonga tu tena kwa mafanikio makubwa.
Mkuu kuto kujitambua na kutambua Hali ya Dunia kwa sasa inakwendaje, kuendeza starehe wanapokuwa vyuoni.
Luck of attitude to success also is the reason.